Viwanja
Viwanja vilivyopimwa vya makazi na biashara, vyenye hati halisi, katika maeneo yanayokua kwa kasi.
Tunauza viwanja vilivyopimwa, nyumba na magari. Tunapatikana mikoa tisa ya Tanzania. Lipa cash, au lipa kidogo kidogo kwa mwaka mmoja.
Power Family Investment Ltd ni kampuni ya Kitanzania inayouza viwanja, nyumba na magari. Tunaamini kila familia inastahili kumiliki ardhi yake bila mzigo mzito wa malipo ya mara moja.
Tunawasaidia wateja kuchagua kiwanja salama, chenye hati halisi, na kulipa kwa mpango unaowafaa.
Kutoka kiwanja tupu hadi nyumba iliyokamilika, tunakuongoza hatua kwa hatua.
Viwanja vilivyopimwa vya makazi na biashara, vyenye hati halisi, katika maeneo yanayokua kwa kasi.
Nyumba za kisasa zilizo tayari kuhamia, kwa wanaotaka kuingia moja kwa moja bila kusubiri ujenzi.
Magari yanayouzwa na kampuni yetu. Wasiliana nasi kujua aina na bei zilizopo.
Lipa asilimia 50 tu ukaanze, kisha maliza kwa awamu ndani ya mwaka mmoja. Au lipa cash na ukabidhiwe kwa dakika chache.
Kwa wanakikoba na vikundi vya kuweka akiba. Changieni pamoja, mnunue kiwanja kwa malipo ya kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja.
Jiunge na Kikoba WekezaHatua nne rahisi kuelekea umiliki.
Chagua mkoa wako na tutakuonyesha viwanja na nyumba zilizopo.
Tazama viwanja, fuatilia malipo yako na ingia kwenye akaunti yako popote ulipo.
Kwa simu za Android. Pakua kupitia Google Play.
Pakua AndroidKwa iPhone na iPad. Pakua kupitia App Store.
Pakua iPhoneKwa Windows na Mac. Tumia akaunti ile ile ya simu.
Pakua DesktopTuambie mkoa unaovutiwa nao na bajeti yako. Timu ya mauzo itakujibu.
Ofisi: Ukumbi wa Maombi Safina, Arusha
Barua pepe: sales@powerfamilyinvestiment.com